Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA AFISA MWENDESHAJI MKUU WA KAMPUNI YA BARRICK GOLD CORPORATION (AFRIKA NA MASHARIKI YA KATI) IKULU


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Kampuni ya Barrick Gold Corporation ( kwa Afrika na Mashariki ya Kati) Bw. Willem Jacobs alipokutana naye kwa mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaa leo Februari 20, 2019 .PICHA NA IKULU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Profesa Florens Luoga katika picha ya pamoja na Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Kampuni ya Barrick Gold Corporation ( kwa Afrika na Mashariki ya Kati) Bw. Willem Jacobs na ujumbe wake baada ya kukutana na kufanya mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaa leo Februari 20, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Profesa Florens Luoga wakiwa katika mazungumzo na Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Kampuni ya Barrick Gold Corporation ( kwa Afrika na Mashariki ya Kati) Bw. Willem Jacobs na ujumbe wake walipokutana Ikulu jijini Dar es salaa leo Februari 20, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Kampuni ya Barrick Gold Corporation ( kwa Afrika na Mashariki ya Kati) Bw. Willem Jacobs baada ya kukutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaa leo Februari 20, 2019

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com