Video Mpya : FATUMA SHAH - CANDLELIGHT
Thursday, February 14, 2019
Msanii wa Bongo Fleva Fatuma Shah ameachia video mpya leo siku ya Wapendanao 'Valentine day' inaitwa Candlelight
Ngoma hii ni zawadi kwako katika msimu huu wa wapendanao.
Tazama video hii hapa
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin