Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

ALIYEKUWA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI JUMA KAPUYA AFUNGA NDOA NA BINTI

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Urambo Magharibi na Waziri wa Ulinzi katika serikali ya awamu ya nne, Profesa Juma Athuman Kapuya amefunga ndoa na mpenzi wake Mwajuma Mwiniko.

Ndoa hiyo kati Prof Kapuya mwenye umri wa miaka 74 na binti huyo anayedaiwa kuwa na umri wa miaka 25 imefungwa Wilayani Urambo Mkoani Tabora siku ya jana tarehe 17 Februari, 2019

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com