UJUMBE WA GODZILLA KABLA YA KUFA ' HATA NIKIFA LEO JINA LANGU LITABAKIA'
Wednesday, February 13, 2019
Msanii Godzilla ambaye amefariki dunia alfajiri ya leo, alizungumza juu ya kifo chake siku chache zilizopita, kwenye mtandao wa twitter ambao alikuwa akipenda sana kuutumia.
Kwenye ukurasa wake mnamo Februari 9,2019 Godzila aliandika ujumbe kuwa hata kama akifa, jina lake litaendelea kubaki kwa watu, jambo ambalo limetafsiriwa kama alikuwa anakaribia kufikwa na umauti.
Social Plugin