Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI KIGOMA KWA ZIARA YA KIKAZI


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakiwapungia wananchi wakati walipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kigoma kuanza ziara ya kikazi mkoani humo, Februari 16, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Brigedia Jenerali Mstaafu, Emmanuel Maganga wakati alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kigoma kuanza ziara ya kikazi mkoani humo, Februari 16, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com