MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU KUFANYA ZIARA KUANZIA KESHO SHINYANGA
Monday, February 25, 2019
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara ya siku 6 mkoa wa Shinyanga kuanzia kesho Februari 26,2019 ambapo atapokelewa Tinde katika Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin