Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA NAIBU WAZIRI MKUU NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA QATAR IKULU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar Sheikh Mohammed bin Abdulrahman al Than mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi zawadi ya Kinyago Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar Sheikh Mohammed bin Abdulrahman al Than kabla ya kuanza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi zawadi ya picha ya Mlima Kilimanjaro mgeni wake Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar Sheikh Mohammed bin Abdulrahman al Than mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar Sheikh Mohammed bin Abdulrahman al Than aliyeambatana na ujumbe wake mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar Sheikh Mohammed bin Abdulrahman al Than mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam. Wengine katika picha ni Waziri wa Mambo ya Nje Profesa Palamagamba Kabudi wanne kutoka kulia, Balozi wa Tanzania kutoka Qatar Fatma Rajab watatu kutoka kushoto pamoja na Balozi Zuhura Bundala wakwanza kushoto.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar Sheikh Mohammed bin Abdulrahman al Than mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam. Wengine katika picha ni Waziri wa Mambo ya Nje Profesa Palamagamba Kabudi wanne kutoka kulia, Balozi wa Tanzania kutoka Qatar Fatma Rajab watatu kutoka kushoto pamoja na Balozi Zuhura Bundala wa kwanza kushoto.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na mgeni wake Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar Sheikh Mohammed bin Abdulrahman al Than mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com