WAFANYAKAZI WA CLOUDS MEDIA WAPATA AJALI WAKITOKA KUMZIKA RUGE
Wednesday, March 06, 2019
Sehemu ya Timu ya Production ya Clouds Media ikiwa na Watu 6 ikitokea katika Msiba wa Ruge Mutahaba Kagera imepata ajali ya gari Dodoma ambapo limepinduka mara tatu.
Hakuna aliyepata madhara makubwa kutokana na ajali hiyo ambapo kwa sasa wanaendelea na matibabu Dodoma.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin