SPIKA NDUGAI ATANGAZA KUMVUA UBUNGE JOSHUA NASSARI WA CHADEMA
Thursday, March 14, 2019
Spika Job Ndugai amemuandikia barua Mwenyekiti wa NEC Jaji Semistocles Kaijage kumtaarifu kuwa jimbo la Arumeru Mashariki linaloongozwa na mbunge Joshua Nassari liko wazi kutokana na mbunge huyo kupoteza sifa kutokana na kutokuhudhuria vikao vya mikutano 3 ya bunge mfululizo.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin