Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

KITUO CHA KUZALISHA NA KUSAMBAZA UMEME CHA MLANDIZI CHATEKETEA KWA MOTO


Kituo cha kuzalisha na kusambaza umeme cha Mlandizi mkoani Pwani kimeungua moto kufuatia mlipuko uliotokea kwenye transfoma.


Taarifa iliyotolewa na TANESCO inasema chanzo cha mlipuko huo bado hakijafahamika na uchunguzi unaendelea.  


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com