Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Picha : RAIS MAGUFULI AKUTANA NA RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE IKULU DAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakati wakielekea kwenye mazungumzo mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 18/03/2019. PICHA NA IKULU

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com