MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA TANZANIA ALAAANI BENDERA ZA CUF KUCHOMWA MOTO
Tuesday, March 19, 2019
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi, amelaani kitendo cha kuchomwa moto bendera za Chama cha Wananchi (CUF), kilichofanywa na baadhi ya waliokuwa wanachama wa chama hicho na baadaye kuhamia ACT-Wazalendo
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin