Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo Alhamisi March 27, 2019 amemuapisha Balozi Mteule wa Tanzania nchini Cuba, Valentino Mlowola Ikulu jijini Dar Es Salaam.
Baada ya zoezi hilo la kumwapisha, Rais Magufuli ameagiza mke wa Balozi huyo wa Tanzania nchini Cuba, Valentino Mlowola kama ni mtumishi wa serikali basi ahamishwe kikazi ili aambatane na mume wake wakafanye kazi pamoja na kuongeza kuwa jambo hilo sio ajabu
==>>Msikilize hapo chini
Social Plugin