BODI YA FILAMU TANZANIA YALAANI KAULI YA MBUNGE JOSEPH MUSUKUMA
Friday, April 19, 2019
Bodi Filamu amesema kauli iliyotolewa na Mbunge Joseph Musukuma inadhalilisha bodi hiyo na wasanii.
Jana Bungeni Musukuma alisema, 'Tasnia ya filamu nchini ipo hoi taabani. Wasanii wa Bongo Movie hawana kitu, wanategemea michango ya misiba, kufungua madanguro na kuwa makuwadi wa wanaume'.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin