HII HAPA RIPOTI YOTE YA MWAKA 2017/2018 YA CAG PROF. ASSAD.....IMETOLEWA LEO
Wednesday, April 10, 2019
Leo Jumatano, April 10, 2019 Tovuti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali imechapisha Ripoti Kuu ya Mwaka ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Juu ya Taarifa za Fedha za Mamlaka ya Serikali za Mitaa kwa Mwaka wa Fedha 2017/2018.
Social Plugin