HIZI HAPA VIDEO MPYA TATU KALI ZA DARASSA ....ZITAZAME MWENYEWE HAPA
Monday, April 08, 2019
Msanii Darassa leo April 8,2019 ameachia video za ngoma zake tatu ambapo ngoma ya kwanza amemshirikisha Juma Jux kwenye ‘Leo’, nyingine akiwa na Maua Sama kwenye ‘Tumempoteza’ na ngoma ya mwisho akiwa amesimama mwenyewe - ‘Relax’.
Zitazame hapo chini
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin