Baraka Mwakipesile (AnkoMagu)
wa Mafinga ambaye anaigiza sauti ya Rais Dkt.
Magufuli akizungumza mara baada ya kupewa nafasi ya kuzungumza.Picha na Ikulu
Rais Magufuli akimsikiliza kijana Baraka Mwakipesile (AnkoMagu) wa Mafinga ambaye anaigiza sauti ya RaisDkt. Magufuli mara baada ya kupewa nafasi ya kuzungumza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Mafinga mara baada ya kuwasili wakati akitokea Makambako mkoaniNjombe.
Baraka Mwakipesile (Anko Magu) Kijana anayeigiza sauti ya Rais Dkt. Magufuli akipiga makofi wakati Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akihutubia.
Umati wa Wananchi wa Mafinga wakimsikiliza Rais Magufuli.
Social Plugin