RAIS MAGUFULI AONDOKA NCHINI KWENDA MALAWI ZIARA YA SIKU 2
Wednesday, April 24, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 24 Aprili, 2019 ameondoka kwenda nchini Malawi ambapo anatarajiwa kufungua msimu wa Soko la Tumbaku nchini humo.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin