Yona Kusaja ambaye alikuwa ni Diwani wa Kata ya Kikombo na Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Dodoma Mjini, amejivua uanachama wa Chama Chadema na vyeo vyake vyote ndani ya Chama hicho na kujiunga na CCM
Bwana Yona Kusaja amepokelewa na Ndg. Humphrey Polepole Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi akiwa katika Semina ya Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi Makao Makuu ya CCM - Dodoma.
Imetolewa na
IDARA YA ITIKADI NA UENEZI
CHAMA CHA MAPINDUZI
Social Plugin