Wanamichezo wakipewa huduma ya vipimo katika banda la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya(NHIF) wakati wa mashindano ya kumbukumbu ya Sokoine jijini Arusha.
Wanamichezo wakipewa huduma ya vipimo katika banda la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya(NHIF) wakati mashindano ya kumbukumbu ya Sokoine jijini Arusha.
Mmoja wa wanamichezo akipimwa urefu na huduma nyingine za huduma ya afya katika banda la Mfuko wa Taifa wa Bima ya
Afya(NHIF) wakati mashindano ya kumbukumbu ya Sokoine jijini Arusha.
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya(NHIF) ukitoa huduma za vipimo vya afya wakati mashindano ya kumbukumbu ya Sokoine jijini Arusha.

Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya(NHIF),mkoa wa Arusha,Isaya Shekifu akifurahia baada ya kumalizia mbio za kilometa tano wakati mashindano ya kumbukumbu ya Sokoine jijini Arusha.
Social Plugin