Wafanyakazi wa benki ya NMB Kanda ya Kaskazini wakishiriki mbio za kilometa tano za kumbukumbu ya Sokoine jijini Arusha.
Maofisa waandamizi wa benki ya NMB Kanda ya Kaskazini wakishiriki mbio za kilometa tano za kumbukumbu ya Sokoine jijini Arusha.
FURAHA;Wafanyakazi wa benki ya NMB Kanda ya Kaskazini wakifurahia baada ya kumaliza mbio za kilometa tano za kumbukumbu ya Sokoine jijini Arusha.
Mmoja wa Wafanyakazi wa benki ya NMB Kanda ya Kaskazini akifurahia baada ya kumaliza mbio za kilometa tano za kumbukumbu ya Sokoine jijini Arusha.
Meneja wa benki ya NMB Kanda ya Kaskazini,Aikansia Muro(kulia) na Meneja anayehusika na shughuli za serikali Kanda ya Kaskazini,Christabel Hiza wakiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Usalama barabarani mkoa wa Arusha,Joseph Bukombe.
Social Plugin