ALIYEKUWA NAIBU KATIBU MKUU WA BARAZA LA VIJANA CHADEMA AJIUNGA RASMI CCM
Wednesday, April 17, 2019
Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Baraza la Vijana CHADEMA Tanzania Bara,Getrud Ndibalema na baadae kujiuzuru nafasi hiyo mwezi Machi mwa mwaka jana (2018), jana amejiunga na chama cha Mapinduzi CCM akipokelewa na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ndg Mussa Mwakitinya makao makuu ya chama hicho Dodoma
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin