Wakati kampeni ya mtandaoni kupinga azimio la Bunge la kutofanya kazi na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad ikifikisha zaidi ya watu 15,000, waraka wa kampeni hiyo umefikishwa katika ofisi ya Spika wa Bunge, Job Ndugai
Waandaaji wa kampeni hiyo ambao ni Taasisi ya Change Tanzania wamesema leo Jumatatu Aprili 8, 2019 kuwa maoni hayo yaliyokusanywa yamefikishwa ofisi ndogo ya Bunge jijini Dar es Salaam na mengine yakitarajiwa kutumwa jijini Dodoma kuanzia kesho Jumanne.
Social Plugin