Habari zilizotufikia hivi punde zinasema watu wanaokadiriwa kuwa Saba wamefariki dunia baada ya Hiace kupinduka katika kijiji cha Mlela wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma.
Taarifa za awali kutoka eneo la tukio ajali hiyo imetokea leo jioni Ijumaa Mei 3,2019 inaelezwa kuwa watu 7 wamefariki dunia na wengine 12 wamejeruhiwa na wamekimbizwa katika hospitali ya Rufaa Maweni kwa ajili ya matibabu.
Social Plugin