HII NDIO RATIBA YA KUMUAGA DKT. REGINALD MENGI KARIMJEE
Tuesday, May 07, 2019
Mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa makampuni ya IPP Media, Reginald Mengi, unaagwa leo Mei 07, katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam. Hapo chini ni ratiba ya tukio zima
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin