Live : RAIS MAGUFULI KATIKA MASHINDANO YA QURAAN UWANJA WA TAIFA
Mashindano makubwa ya Qur-aan Tukufu yanafanyika Leo Jumapili ,Mei 19, katika Uwanja wa Taifa jijini Dar ambapo washiriki kutoka nchi 20 barani Afrika wanachuana kuwania taji la mshindi wa kuhifadhi Quraan. Tazama hapo chini
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com