Live : SHUGHULI YA KUAGWA KWA MAREHEMU DKT. REGINALD MENGI - UKUMBI WA KARIMJEE
Tuesday, May 07, 2019
Viongozi mbalimbali, ndugu na Marafiki wanashiriki katika tukio la kuagwa kwa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP , Dkt Reginald Abraham Mengi. Shughuli hio inafanyika leo hii katika Ukumbi wa Karimjee Jijini Dar es salaam. Tazama hapo chini
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin