Rais John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe, Kazimbaya Makwega na mwenzake wa Wilaya ya Uyui mkoani Tabora, Hadija Makuwani.
Rais Magufuli ametengua uteuzi wa wakurugenzi hao kuanzia leo Mei 16, 2019 na uteuzi wa wakurugenzi wa halmashauri hizo watateuliwa baadaye.
Social Plugin