MASAUNI: HAKUNA USHAHIDI WA AJALI ILIYOSABABISHWA NA TRAFIKI KUVIZIA BARABARANI
Monday, May 06, 2019
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhandisi Hamad Yussuf Masauni amesema hakuna ushahidi wowote unaoonesha kuwa kumetokea ajali iliyosababishwa na askari wa usalama barabarani 'kujificha' wakiwa barabarani.
==>>Msikilize hapo chini
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin