Makamu wa Kwanza wa Rais wa Bunge la Afrika Mhe. Stephen Masele ambaye ni Mbunge wa jimbo la Shinyanga Mjini amerudi nchini Tanzania baada ya Mkutano wa Bunge la Afrika uliokuwa unaendelea jijini Johannesburg,Afrika Kusini tangu Mei 6,2019, kufungwa leo Ijumaa Mei 17,2019.
Mhe. Masele ambaye ni Mkuu wa Utawala PAP alikuwa anahudhuria mkutano wa bunge la Afrika na baada ya kukamilisha majukumu yaliyompeleka sasa amerejea nyumbani Tanzania huku wabunge wengine waliokuwa wakishiriki mkutano nao wakirudi katika nchi zao.
Soma pia : Picha : MKUTANO WA PILI WA BUNGE LA AFRIKA (PAP) WAFUNGWA

Walinzi wakiwa wamebeba mizigo ya Mhe. Stephen Masele tayari kuelekea uwanja wa ndege.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Bunge la Afrika Mhe. Stephen Masele akiondoka katika Hotel ya Gallagher hoteli iliyopo jijini Johannesburg,Afrika Kusini baada ya mkutano wa Bunge la Afrika kufungwa leo Mei 17,2019.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Bunge la Afrika Mhe. Stephen Masele.
Social Plugin