Sikiliza : MABISHANO KATI YA MASELE NA NDUGAI LEO BUNGENI...AANIKA UKWELI KWA WATANZANIA
Thursday, May 23, 2019
Mbunge wa Shinyanga Mjini, Stephen Masele leo tarehe 23 Mei 2019 ambaye ni Makamu wa Rais wa Bunge la Afrika (PAP), ameshutumu mawasiliano ya Spika Ndugai na Roger Nkodo Dang, Rais wa Bunge la Afrika (PAP) kwamba, yalikuwa na malengo hasi kwake na nafasi yake ya umakamu wa rais wa PAP.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin