Angali Picha: MASELE MBELE YA KAMATI YA BUNGE DODOMA
Monday, May 20, 2019
Mbunge wa Shinyanga mjini (CCM) na Makamu wa Rais wa Kwanza wa Bunge la Afrika (Pan - African Parliament -PAP), Stephen Masele akiwa mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge jijini Dodoma kujibu tuhuma za utovu wa nidhamu zinazomkabili
Awali Masele akiwasili bungeni leo
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin