Picha: RAIS MAGUFULI NA VIONGOZI WENGINE WAKIWA KATIKA UKUMBI WA KARIMJEE, KUMUAGA DR. MENGI
Tuesday, May 07, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli na Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan, wakiwa katika ukumbi wa Karimjee, kumuaga Dr. Mengi.
Familia ya Dr. Mengi ikiusindikiza mwili wa Dr Mengi kwa ajili ya kuagwa katika ukumbi wa Karimjee
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin