Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Picha :MALECELA NA MKEWE WAMJULIA HALI MTOTO WAO WILLIAM MALECELA 'LEMUTUZ'

Waziri Mkuu Mstaafu Mzee John Malecela na mkewe Mhe Anna Kilango-Malecela wakiwa wamemtembelea kumjulia hali mtoto  wao William Malecela maarufu kama Le Mutuz Super Brand
aliyelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete jijini Dar es salaam kwa matibabu leo Jumapili Mei 5, 2019.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com