SERIKALI YASEMA NI NGUMU KULIPA FIDIA KWA WALIOATHIRIWA NA WANYAMAPORI
Monday, May 06, 2019
Waziri wa Maliasili na utalii amesema ni ngumu kwa serikali kuahidi kutekeleza ulipaji wa fidia kwa wananchi ambao wataathiriwa na wanyama pori au mazao yao, lakini inachoweza kulipa ni kifuta machozi.
==>>Msikilize hapo chini
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin