Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

UBALOZI WA MAREKANI WAMLILIA MZEE REGINALD MENGI

Ubalozi wa Marekani nchini umesema kuwa umepokea kwa majonzi makubwa taarifa za kifo cha Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Dkt. Reginald Mengi kilichotokea huko Dubai falme za Kiarabu.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com