Wasanii nchini wamezidi kutuma salamu za pole kufuatia kifo cha Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Dkt. Reginald Mengi kilichotokea usiku wa kuamkia leo.
Chini ni baadhi ya wasanii waliotuma salamu zao za pole kupitia mitandao.
Idris Sultan - Jana ilikuwa birthday ya Ruge na leo msiba wa Mengi. Another media tycoon is gone. Sina nafasi ya kuongezea kwenye huzini ambayo wote tunayo ila tukumbuke siku zake za mwisho na mkewe zilitupa wote furaha sanaaaa sio siri. It’s a life well lived. Innalillahi wainna ilaihi rajiun.
Vanessa Mdee - What a loss. Poleni sana kwa ndugu jamaa na marafiki pamoja na kila mmoja aliyeguswa na msiba huu hakika ni wengi. Thankyou for your time, brilliance and the constant motivation 🙏 prayers up kwa familia na watoto wote 🙏 Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Mzee Mengi pahali pema. Praying for you sis J Mengi
Mwijaku - Binaaadamu hupimwa kwa mchango wake aliouacha kwenye jamii na sio umri alioishi kwenye jamii. Rest easy ,Reginald Mengi ,go and Dance with angels.Rest In Paradise. Pole J Mengi.
Chege Chigunda - Lala salama babaetu MENGI Mungu akuweke mahala pema peponi,poleni ndugu jamaa na marafiki wote mlo guswa na msiba huu mkubwa🙏 poleni sana wafanya kazi wa IPP Group Mipango ya Mungu haina makosa
Social Plugin