Wimbo Mpya : DIAMOND PLATNUMZ FT. FALLY IPUPA - INAMA
Friday, May 03, 2019
Msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ameachia wimbo wake mpya wa INAMA aliyomshirikisha Fally Ipupa kutoka DR Congo. Utazame hapo chini
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin