Rais Magufuli leo Juni 7, amekutana na wafanyabiashara kutoka wilaya zote hapa nchini, pamoja na wajumbe wa Baraza la Biashara la Taifa (TNBC).
Mkutano huo umeanza saa 3:40 asubuhi hii katika ukumbi wa mikutano wa Kikwete, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Tazama hapo chini
Social Plugin