Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

WAZIRI MPINA ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA KAMPUNI YA RANCHI ZA TAIFA (NARCO)


Waziri wa Mifugo naUvuvi Mhe. Luhaga Mpina akizungumza na Wafanyakazi wa Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO) alipotembelea Makao Makuu ya kampuni hiyo Nzuguni, Dodoma, leo Kushoto ni Meneja Mkuu wa NARCO, Prof. Philemoni Wambura. Kulia ni Mratibu wa Dawati la Sekta Binafsi, Steven Michael.
Mratibu wa Dawati la Sekta Binafsi Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Bw. Steven Michael akieleza nafasi ya Dawati la Sekta Binafsi katika kuboresha uwekezaji kwenye Kampuni ya Ranchi zaTaifa, NARCO (katikati) niWaziri waMifugona Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina na Kaimu Meneja Mkuu wa NARCO, Profesa Philemon Wambura
Mkurugenzi Msaidizi wa Rasilimali watu, Wizara ya Mifugo na Uvuvi Bi. Teddy Njau akifafanua hoja mbalimbali kuhusu Watumishi wa Kampuni ya Ranchi za Taifa katika ziara ya Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina alipotembea Makao Makuu ya NARCO, Nzuguni jijini Dodoma.
Watumishi wa Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO) wakifuatilia kwa makini maelekezo yaWaziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina (hayupo pichani) alipotembelea makao makuu ya NARCO Nzuguni, Dodoma.
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina akiwa katika picha ya pamoja na Ma meneja wa Ranchi zote zaTaifa baada ya kumaliz akikao cha siku mbili kilichofanyika makao makuu ya Narco Nzuguni, Dodoma wengine ni Kaimu Meneja Mkuu wa NARCO na Wakurugenzi wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com