Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

RAIS WA DRC FELIX TSHISEKEDI ALIVYOSHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA NCHINI TANZANIA AKIWA NA RAIS MAGUFULI


Jana June 13, 2019 Rais Dkt.Magufuli alimwandalia mgeni wake Felix Tshisekedi ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo keki ya Birthday akimpongeza kwa kusherekea miaka 57 ya kuzaliwa akiwa nchini Tanzania Wakati wa Dhifa ya Kitaifa aliyomuandalia Ikulu Jijini Dar es salaam.
Rais Dkt.Magufuli akimtumbuiza mgeni wake Rais Felix Tshisekedi akiwa na Wanamuziki Christian Bella, King Kikii na Christina Shusho mara baada ya kumpa keki ya Birthday na kumpongeza kwa kusherekea miaka 57 ya kuzaliwa akiwa nchinimTanzania Wakati wa Dhifa ya Kitaifa aliyomuandalia Ikulu Jijini Dar es salaam

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com