RAIS MAGUFULI KUWAAPISHA VIONGOZI WATATU IKULU KESHO
Sunday, June 09, 2019
Rais Magufuli kesho Juni 10, 2019 atawaapisha Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Lugha Bashungwa, Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe, Charles Kichere na Kamishina Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Dkt. Edwin Mhende
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin