Rais Magufuli amesema ana taarifa kuwa baadhi ya wafanyabiashara wamejenga viwanda kama geresha tu, wanatumia viwanda hivyo kupokea au kutunzia bidhaa kutoka nje bila kulipa kodi stahiki.
Amesema idadi ya kampuni hizo ni zaidi ya 17,000.
==>>Msikilize hapo chini
Social Plugin