Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

TBL YAADHIMISHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI 2019 KWA VITENDO


Baadhi ya wafanyakazi wa kiwanda cha Konyagi kilichopo chini ya TBL Group wakiwa na mabango yenye ujumbe wa utunzaji wa mazingira baada ya kushiriki zoezi la kupanda miti na kusafisha mazingira
Wafanyakazi wa TBL kiwanda cha Arusha wakishiriki kupanda miti katika eneo la Themi, Arusha
Baadhi ya wafanyakazi wa TBL kiwanda cha Arusha wakiwa na bango lenye ujumbe wa utunzaji wa mazingira baada ya kushiriki zoezi la kupanda miti zaidi ya 1,000 katika eneo la chanzo cha maji kilichopo Mtaa wa Kambarage,Kata ya Themi katika kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani 2019.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com