Karimu M. Mshamu
Polisi Mtwara wanamshikilia Karimu M. Mshamu (35) ambae video yake inasambaa akiwa ameshikilia kipisi cha sehemu ya uume wake akidai ameamua kukata kikojoleo chake ili kumtumikia Mungu na kujiepusha na zinaa.
Tukio hilo limetokea saa 12 asubuhi June 14,2019 katika kijiji cha Kitangari Newala mkoani Mtwara.
Inaelezwa kuwa jamaa huyo ambaye ni fundi ujenzi alikata uume wake na kidole cha shahada mkono wa kushoto na alipelekwa hospitali kwa ajili matibabu.
TAZAMA VIDEO
Social Plugin