Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole, Naibu Katibu Mkuu wa CCM – Zanzibar, Abdallah Juma Mabodi ambaye amefiwa na Mkewe, Dkt. Badriya Abubakar Gurnah wakati alipokwenda nyumbani kwa wazazi wa marehemu, Mikocheni jijini Dar es salaam Juni 23, 2019 kutoa pole kwa familia.
Katikati ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Iddi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Social Plugin