Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Picha : RAIS WA KENYA UHURU KENYATTA ALIVYOPOKELEWA NA RAIS MAGUFULI CHATO- GEITA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea mgeni wake Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Chato mkoani Geita kwa ziara binafsi ya siku mbili. Picha na Ikulu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea mgeni wake Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Chato mkoani Geita kwa ziara binafsi ya siku mbili.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta wakati wakipita kwenye Gadi ya Heshma iliyoandaliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Chato mkoani Geita kwa ziara binafsi ya siku mbili.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta wakipungia mikono wananchi waliofika katika uwanja wa ndege wa Chato katika mapokezi ya Rais huyo wa Kenya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta wakizungumza wa wananchi wa Chato njiapanda wakati wakitokea uwanja wa Ndege wa Chato.
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta wakizungumza wa wananchi wa Chato waliofika kumpokea katika uwanja wa Ndege wa Chato mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta mara baada ya kuwasili Chato mkoani Geita
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta wakati wakiangalia vikundi vya Kwaya mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Chato mkoani Geita.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na mgeni wake Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta mara baada ya kuwasili Chato.
Ndege ya Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ikiwasili katika uwanja wa Ndege wa Chato Mkoani Geita. PICHA NA IKULU

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com