Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

JANUARY MAKAMBA AKABIDHI OFISI KWA GEORGE SIMBACHAWENE


Mbunge wa Bumbuli January Makamba leo amemkabidhi Waziri mpya katika Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano & Mazingira) George Simbachawene ambaye ameteuliwa na Rais Magufuli.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com