Mwandishi wa Habari Sumai Mgaya Salum aliyekuwa anafanyaka kazi katika kituo cha Matangazo Divine Fm iliyopo Mjini Kahama mkoani Shinyanga amefunga ndoa na mpenzi wake Isack Jonas Luhiye.
Ndoa hiyo imefungwa jana Jumamosi Julai 27,2019 imefungwa katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Karoli Lwanga Jimbo la Kahama na kufuatiwa na sherehe iliyofanyika katika ukumbi Niteshi uliopo Mjini Kahama.
Bi. Harusi Sumai Mgaya Salum katikati akikata keki na Bw. Harusi Isack Jonas Luhiye. Picha zote na Kadama Malunde - Malunde1 blog
Bw. Harusi Isack Jonas Luhiye akiteta jambo na mkewe Sumai Salum
Bw. Isack Jonas Luhiye akiwa na mkewe Sumai Salum.
Bw. Harusi Isack Jonas Luhiye akitoa neno wakati akifunga ndoa na Sumai Salum.
Picha zote na Kadama Malunde - Malunde1 blog
Social Plugin