Rais Magufuli amesema kutokana na kazi aliyoifanya Mbunge wa Kongwa, Spika Job Ndugai atashangaa kuona watu hawatampigia makofi.
Rais Magufuli amesema kuwa hatuchagui malaika na mtu akitaka kuchagua malaika afe aende mbinguni atawakuta Malaika huko
“Kutokana na kazi nzuri anayofanya spika huyu nitashangaa sana kama hamtamshangilia makofi mengi hatuchagui malaika na akitaka mtu kuchagua malaika kufa nenda ,mbinguni utawakuta malaika huko lakini kwa binadamu nawaaambia kwa maendeleo yenu huyu amesaidia Taifa, ” amesema Rais Magufuli leo akiwa Kongwa jijini Dodoma.
Msikilize hapo chini
Social Plugin